Job 15:14-16


14 a“Mwanadamu ni kitu gani, hata aweze kuwa safi,
au yeye aliyezaliwa na mwanamke, hata aweze kuwa mwadilifu?
15 bKama Mungu hawaamini watakatifu wake,
kama hata mbingu zenyewe si safi machoni pake,
16 csembuse mwanadamu ambaye ni mwovu na mpotovu,
ambaye hunywa uovu kama anywavyo maji!
Copyright information for SwhNEN